×
×

Jiunge na DreamLink Leo

DreamLink ni mtandao kwa ajili ya wanawake wanaothubutu kuwa na ndoto. Lengo letu kuu ni kuwasaidia wanawake katika bara la Afrika KUUNGANISHWA pamoja, KUJIFUNZA pamoja na KUSAIDIANA katika kutimiza ndoto zao.

Kujisajili ni rahisi, bure na salama. Tumerahisisha kwa kukupa uwezo wa kuandika maoni yako bila jina lako kuonekana na kwa njia hiyo faragha yako inalindwa siku zote. Tutafurahi sana kukufahamu hiyo tafadhali jiunge nasi leo!

Njia Mbili Rahisi za Kujiunga:

Jiunge kupitia Facebook

Au

Jiunge kupitia barua-pepe yako