×
×

Wanawake Wa Pekee

Masimulizi kutoka kwa wanawake wajasiri wanaotaka kutimiza ndoto zao

Kubadili Mitazamo Kupitia Sanaa

Kubadili Mitazamo Kupitia Sanaa

Jinsi Milan anavyobadili mtazamo wa watu kuhusu ubunifu katika studio yake aliyotamani sana kumiliki.

Soma zaidi

ULEMAVU HAUKUNIZUIA KUTIMIZA NDOTO ZANGU

ULEMAVU HAUKUNIZUIA KUTIMIZA NDOTO ZANGU

Ndoto ya Joyce ya kuwa na maisha ya kawaida ilikatishwa mapema angali akiwa mtoto alipopata ajali, hata hivyo ndoto zake hazikumfanya akate tamaa “Nilizoea kucheza, kuimba, kuruka, kukimbia kama mtoto mwingine yeyote mwenye umri wa miaka saba. Maisha yalikuwa mazuri, “Joyce Shujaa, mwalimu wa shule ya msingi mwenye umri wa miaka 49 anakumbuka. “Mama yangu […]

Soma zaidi

KATENGENEZWA NA MASHINE TOFAUTI

KATENGENEZWA NA MASHINE TOFAUTI

Mama anayelea mtoto peke yake akabili changamoto mbalimbali kufikia kuwa mbunifu mavazi maarufu

Soma zaidi

MARTHA AAMKA KIROHO

MARTHA AAMKA KIROHO

Safari ya mwanamke kutoka kushindwa kabisa mpaka kufanikiwa kiroho

Soma zaidi

UREMBO WA NGOZI NI MWANZO TU

UREMBO WA NGOZI NI MWANZO TU

Rachel anapambana na unyanyapaa kuelekea watu wenye ulemavu wa ngozi au albino na huwasaidia wanawake kupitia mafuta yake ya ngozi yenye virutubisho vya asili

Soma zaidi

ELIMU NA UJASIRIAMALI BAADA YA KUWA MAMA

ELIMU NA UJASIRIAMALI BAADA YA KUWA MAMA

Upendo na ari ya kufanya kazi ilimsaidia Jesry kutimiza ndoto zake baada ya kuacha kazi iliyokuwa na kipato kikubwa ili kuanzisha biashara yake

Soma zaidi