×
×

Kwa Wanawake Wanaothubutu Kuwa na Ndoto

Masimulizi, Mawazo na Ushauri wa Bure kutoka kwa Wataalamu

Jifunze Zaidi

Wanawake Wa Pekee

Masimulizi kutoka kwa wanawake wajasiri wanaotaka kutimiza ndoto zao

Soma kuhusu Wanawake wa Pekee >

Mawazo

Makala zenye mambo ya msingi yatakayokusaidia kuboresha uwezo wako wa kufikiri, kuwa na furaha na kufanikiwa

Soma kuhusu Mawazo >

Uliza Mtaalamu

Pata ushauri mzuri kutoka katika jumuiya yako

Uliza Maswali kulingana na Mada
 • Afya & Lishe
 • Uliza maswali kuhusu mada kama vile afya, lishe, mazoezi ya mwili, kuridhika, hofu, upweke na ubora wa afya kwa ujumla

 • Mahusiano & Familia
 • Uliza maswali kuhusu mada kama vile ndoa, talaka, mimba, malezi na jinsi ya kuwa na mahusiano mazuri na wengine

 • Biashara & Kazi
 • Uliza maswali kuhusu mada kama vile ujasiriamali, kutafuta masoko, kutafuta kazi, jinsi ya kukabiliana na waajiri wakorofi na jinsi ya kuwa na usawaziko kati ya kazi na maisha

 • Kuweka Amana & Fedha
 • Maswali kuhusu mada kama vile vya vikundi vya kuweka akiba, fedha zako, bajeti, mikopo na jinsi ya kukabiliana na changamoto ya uchumi

 • Maisha & Nyumbani
 • Maswali kuhusu mada kama vile mitindo, urembo, mapishi, kutunza nyumba na mapendezi

 • Mengineyo
 • Uliza maswali kuhusu mambo mengine yasiyo katika mada zilizopo

Jiunge na DreamLink Leo

DreamLink ni mtandao kwa ajili ya wanawake wanaothubutu kuwa na ndoto. Lengo letu kuu ni kuwasaidia wanawake katika bara la Afrika KUUNGANISHWA pamoja, KUJIFUNZA pamoja na KUSAIDIANA katika kutimiza ndoto zao.

Kujisajili ni rahisi, bure na salama. Tumerahisisha kwa kukupa uwezo wa kuandika maoni yako bila jina lako kuonekana na kwa njia hiyo faragha yako inalindwa siku zote. Tutafurahi sana kukufahamu hiyo tafadhali jiunge nasi leo!

Njia Mbili Rahisi za Kujiunga:

Jiunge kupitia Facebook

Au

Jiunge kupitia barua-pepe yako